Waziri wa usalama Kenya Joseph Nkaissery afariki dunia,

picha ya waziri aliyefariki saa chacheĀ  baada ya kulazwa katika hospitali ya karen. Waziri huyo amefariki dunia saa chache baada yake kulazwa katika hospitali ya kibinafsi ya Karen kufanyiwa uchunguzi wa kimatibabu. Taarifa za kifo chake zimetangazwa na mkuu wa utumishi wa umma Bw Joseph Kinyua mwendo wa Ni kwa huzuni kubwa na mshangao kwamba… Continue reading Waziri wa usalama Kenya Joseph Nkaissery afariki dunia,

Mabibi harusi wakabidhiwa silaha ya kujilinda India.

Mamia ya mabibi harusi katika arusi ya halaiki wamepewa silaha ya kujilinda dhidi ya waume zao wanaponyanyaswa. Ujumbe kama ”tumia dhidi ya mlevi” umeandikwa katika ubao huo ulio na urefu wa sentimita 40 na hutumika sana kundoa uchafu katika nguo. Gopal Bhargava , waziri wa maswala ya ndani nchini humo alisema kuwa anataka kuangazia swala… Continue reading Mabibi harusi wakabidhiwa silaha ya kujilinda India.

Usher Raymond azuru mbuga ya Serengeti Tanzania.

Msanii wa Marekani Usher Raymond yuko ziarani nchini Tanzania akitembelea eneo la uhifadhi wa wanyama pori la Serengti National Park. Bwana Raymond alichapisha baadhi ya picha akiwa na familia yake katika akaunti yake ya Twitter. Alielezea hali ilivyo katika eneo hilo kama ya kufurahisha . Ripoti za Usher Raymond kuzuru Tanzania zilisambaa kwa haraka nchini… Continue reading Usher Raymond azuru mbuga ya Serengeti Tanzania.

Simba apatikana akimnyonyesha mwana wa Chui Tanzania.

Mwana wa chui hawezi kubadili madoa doa katika ngozi yake lakini simba huyo hajali hilo. Picha hizi ni za kwanza kuchukuliwa simba akimnyonyesha mwana wa chui kutoka jamii nyengine ya wanayama, kisa kisicho cha kawaida. Wawili hao walionekana na Joop Van Der Linde mgeni katika katika eneo la Ndutu safari Lodge nchini Tanzania katika eneo… Continue reading Simba apatikana akimnyonyesha mwana wa Chui Tanzania.

Shabiki wa Sunderland Bradley Lowery aliyegusa nyoyo za wengi afariki.

Shabiki wa klabu ya Sunderland wa umri wa miaka sita Bradley Lowery, ambaye tatizo lake la kiafya liligusa nyoyo za wengi amefariki duni   Bradley alikuwa anaugua ugonjwa ambao kwa Kiingereza hufahamika kama neuroblastoma – aina nadra ya saratani – tangu alipokuwa na umri wa miezi 18. Bradley alifanywa kuwa kibonzo-nembo wa klabu hiyo na… Continue reading Shabiki wa Sunderland Bradley Lowery aliyegusa nyoyo za wengi afariki.